Search

241 results for Nevumba Abubakar :

  1. Simba Queens inajipigia tu Yanga Princess

    Yanga Princess imeendelea kuwa vibonde wa Simba Queens na haijawafunga wekundu hao kwa misimu mitano, huku mara ya mwisho kushinda ilikuwa ni mwaka 2018 iliposhinda 1-0 bao lililofungwa na Clara...

  2. Dodoma Jiji, KMC vita ya nafasi Bara

    LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo kwa mchezo mmoja kupigwa ambapo Dodoma Jiji itakuwa kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kucheza na KMC.

  3. Simba, Yanga dabi nyingine Chamazi

    LIGI Kuu ya Wanawake itaendelea tena kesho kwa michezo miwili kupigwa kwenye viwanja tofauti ikiwemo dabi ya Kariakoo kati ya Simba Queens na Yanga Princess kwenye Uwanja wa Azam Complex saa...

  4. Yanga yaivurugia JKT Queens

    MCHEZO wa Ligi Kuu ya wanawake kati ya JKT Queens na Amani Queens umesogezwa mbele kutokana na muingiliano wa ratiba na mechi ya Yanga na JKT ambayo inapigwa leo kwenye Uwanja wa Meja Jenerali...

  5. JKT Tanzania yagomea kucheza Chamazi

    WAKATI Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ukishindwa kutumika kwenye mechi ya Ligi Kuu kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga, kutokana na sehemu ya kuchezea kujaa maji, habari za ndani ni timu ya...

  6. Mvua yazitibulia Yanga, JKT, mechi yaahirishwa

    YANGA SC ilikuwa na hesabu zake leo iende Jenerali Isamuhyo kucheza na wenyeji wao JKT Tanzania ili kutengeneza mazingira mazuri zaidi ya kutetea ubingwa wao, lakini mvua kubwa iliyonyesha Dar es...

  7. JKT, Yanga zawahi Isamuyo, mechi hatihati kuchezwa

    MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania na Yanga huenda usifanyike kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo kutokana na kujaa maji kutokana na mvua, licha ya juhudi za kuyaondoa kuendelea...

  8. Malijendi: Hii dabi niyakushangaza

    Malijendi wa Simba na Yanga wamedai mechi ya Jumamosi hii itakuwa na mambo mengi ya kushangaza lakini watakaoenda uwanjani watainjoi soka.

  9. Ally Kamwe: Mabao 20? Simba sio dhaifu kihivyo

    KUELEKEA mechi ya watani wa jadi Machi 20, Yanga imesema haitaingia kwenye mchezo huo kwa kuwadharau wapinzani wao Simba kutokana na kupata matokeo mabaya kwenye mechi zao za...

  10. Yanga, Baobab zawekwa kiporo

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeahirisha mchezo kati ya Yanga Princess na Baobab Queens uliopangwa kuchezwa leo katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kutokana na kile...

Page 1 of 25

Next